Noor
Kiswahili
Noor / Dua / Maumbile ya Asili / Anaposikia mbwa wakibweka usiku

Anaposikia mbwa wakibweka usiku

Maumbile ya Asili · 1 dua

Anaposikia mbwa wakibweka usiku 0:00
Sikiliza
1

إِذَا سَمِعْتُمْ نُبَاحَ الْكِلاَبِ وَنَهِيقَ الْحَمِيرِ بِاللَّيْلِ فَتَعَوَّذُوا بِاللَّهِ مِنْهُنَّ؛ فَإِنَّهُنَّ يَرَيْنَ مَا لاَ تَرَوْنَ

Mkisikia mlio wa mbwa na wa punda usiku, basi mtakeni hifadhi Mwenyezi Mungu kwani wao wanaona msiyoyaona.

Chanzo: Abu Dawud 4/327, Ahmad 3/306.