Noor
Kiswahili
Noor / Dua / Maumbile ya Asili / Anapouona mwezi mwandamo

Anapouona mwezi mwandamo

Maumbile ya Asili · 1 dua

Anapouona mwezi mwandamo 0:00
Sikiliza
1

اللَّهُ أَكْبَرُ, اللَّهُمَّ أَهِلَّهُ عَلَيْنَا بِالْأَمْنِ وَالْإِيمَانِ, وَالسَّلاَمَةِ وَالْإِسْلاَمِ, وَالتَّوْفِيقِ لِمَا تُحِبُّ رَبَّنَا وَتَرْضَى, رَبُّنَا وَرَبُّكَ اللَّهُ

Mwenyezi Mungu ni Mkubwa, Ewe Mwenyezi Mungu uanzishe kwetu kwa amani,na imani na usalama na uislamu, na taufiq ya kile unachokipenda Mola wetu na kukiridhia, Mola wetu na Mola wako ni Mwenyezi Mungu.

Chanzo: At-Tirmizi 5/504, Ad-Darimi 1/336.