Noor
Kiswahili
Noor / Dua / Maumbile ya Asili / Dua ya kuondoa mawingu angani

Dua ya kuondoa mawingu angani

Maumbile ya Asili · 1 dua

Dua ya kuondoa mawingu angani 0:00
Sikiliza
1

اللَّهُمَّ حَوَالَيْنَا وَلاَ عَلَيْنَا, اللَّهُمَّ عَلَى الآكَامِ وَالظِّرَابِ, وَبُطُونِ الْأَوْدِيَةِ, وَمَنَابِتِ الشَّجَرِ

Ewe Mwenyezi Mungu inyesheleze kwa watu wala isiwe yenye kutuangamiza, Ewe Mwenyezi Mungu inyesheleze kwenye vichaka na milima, na mabonde, na kwenye mizizi ya miti.

Chanzo: Al-Bukhari 1/224, Muslim 1/614