Noor
Kiswahili
Noor / Dua / Swala / Dua kati ya sijda mbili

Dua kati ya sijda mbili

Swala · 2 dua

Dua kati ya sijda mbili 0:00
Sikiliza
1

رَبِّ اغْفِرْ لِي, رَبِّ اغْفِرْ لِي

Mola nisamehe, Mola nisamehe.

Chanzo: Abu Dawud 1/231, Sahih Ibn Mdjah 1/148.

2

اللَّهُمَّ اغْفِرْ لِي, وَارْحَمْنِي, وَاهْدِنِي, وَاجْبُرْنِي, وَعَافِنِي, وَارْزُقْنِي, وَارْفَعْنِي

Ewe Mwenyezi Mungu nisamehe, na unirehemu, na uniongoze, na uniungie (uniunge), na unipe afya, na uniruzuku, na uniinue.

Chanzo: Sahih At-Tirmizi 1/90, Sahih Ibn Majah 1/148.