1
سَجَدَ وَجْهِيَ لِلَّذِي خَلَقَهُ, وَشَقَّ سَمْعَهُ وَبَصَرَهُ بِحَوْلِهِ وَقُوَّتِهِ, ﴿فَتَبارَكَ اللَّهُ أَحْسَنُ الْخَالِقِينَ﴾
Umesujudu uso wangu kumsujudia yule aliyeuumba na akaupasua usikizi wake na uoni wake kwa uwezo wake na nguvu zake, ametakasika Mwenyezi Mungu mbora wa waumbaji.
Chanzo: At-Tirmizi 2/474, Ahmad 6/30, Al-Hakim