Noor
Kiswahili
Noor / Dua / Swala / Dua ya kuingia msikitini

Dua ya kuingia msikitini

Swala · 1 dua

Dua ya kuingia msikitini 0:00
Sikiliza
1

يَبْدَأُ بِرِجْلِهِ الْيُمْنَى, وَيَقُولُ: أَعُوذُ بِاللَّهِ العَظِيمِ, وَبِوَجْهِهِ الْكَرِيمِ, وَسُلْطَانِهِ الْقَدِيمِ, مِنَ الشَّيْطَانِ الرَّجِيمِ. [بِسْمِ اللَّهِ, وَالصَّلَاةُ] [وَالسَّلَامُ عَلَى رَسُولِ اللَّهِ] اللَّهُمَّ افْتَحْ لِي أَبْوَابَ رَحْمَتِكَ

Najilinda kwa Mwenyezi Mungu aliye Mtukufu, na kwa uso wake mtakatifu, na kwa utawala wake wa kale, kutokana na shetani aliye laaniwa, (kwa jina la Mwenyezi Mungu, na rehma na amani zimfikie Mtume wa Mwenyezi Mungu), Ewe Mwenyezi Mungu nifungulie milango ya rehema zako.

Chanzo: Abu Dawud, Sahihul-Jami' As-Saghir (Hadith no. 4591), Ibn As-Sunni (Hadith no. 88), Abu Dawud 1/126, Sahihul-Jami' 1/528, Muslim 1/494, Ibn Majah 1/128-129.