Noor
Kiswahili
Noor / Dua / Swala / Dua ya kutoka msikitini

Dua ya kutoka msikitini

Swala · 1 dua

Dua ya kutoka msikitini 0:00
Sikiliza
1

يَبْدَأُ بِرِجْلِهِ الْيُسْرَى, وَيَقُولُ: بِسْمِ اللَّهِ وَالصّلَاةُ وَالسَّلَامُ عَلَى رَسُولِ اللَّهِ, اللَّهُمَّ إِنِّي أَسْأَلُكَ مِنْ فَضْلِك, اللَّهُمَّ اعْصِمْنِي مِنَ الشَّيْطَانِ الرَّجِيمِ

Kwa jina la Mwenyezi Mungu na rehma na amani zimfikie Mtume wa Mwnyezi Mungu, Ewe Mwenyezi Mungu hakika mimi nakuomba katika fadhila zako, Ewe Mwenyezi Mungu nilinde kutokana na shetani aliye laaniwa.

Chanzo: Abu Dawud 1/126, Sahih Al-Jami' 1/528, Muslim 1/494. Sahih Ibn Majah 1/128-129.