Noor
Kiswahili
Noor / Dua / Swala / Dua ya kunyanyuka kutoka rukuu

Dua ya kunyanyuka kutoka rukuu

Swala · 3 dua

Dua ya kunyanyuka kutoka rukuu 0:00
Sikiliza
1

سَمِعَ اللَّهُ لِمَنْ حَمِدَهُ

Mwenyezi Mungu amemsikia mwenye kumsifu.

Chanzo: Al-Bukhari, Al-Asqalani, Fathul-Bari 2/282.

2

رَبَّنَا وَلَكَ الْحَمْدُ, حَمْداً كَثيراً طَيِّباً مُبارَكاً فِيهِ

Ewe Mola wetu, ni zako sifa njema, sifa nyingi, nzuri, zenye baraka.

Chanzo: Al-Bukhari, Al-Asqalani, Fathul-Bari 2/284.

3

مِلْءَ السَّمَوَاتِ وَمِلْءَ الأَرْضِ, وَمَا بَيْنَهُمَا, وَمِلْءَ مَا شِئْتَ مِنْ شَيءٍ بَعْدُ. أَهلَ الثَّناءِ وَالْمَجْدِ, أَحَقُّ مَا قَالَ الْعَبْدُ, وَكُلُّنَا لَكَ عَبْدٌ. اللَّهُمَّ لاَ مَانِعَ لِمَا أَعْطَيْتَ, وَلاَ مُعْطِيَ لِمَا مَنَعْتَ, وَلاَ يَنْفَعُ ذَا الجَدِّ مِنْكَ الجَدُّ

(Sifa zako) Zimejaa mbingu, na zimejaa ardhi, na vilivyomo ndani yake, na zimejaa (sifa zako) kwa ulichokitaka baada yake, Wewe ni mstahiki wa sifa na utukufu, ni kweli aliyoyasema mja wako, na sote ni waja wako, Ewe Mwenyezi Mungu hapana anaeweza kukizuia ulichokitoa, na wala kutoa ulichokizuia, na wala haumnufaishi mwenye utajiri, kwani kwako Wewe ndio (kuna) utajiri.

Chanzo: Muslim 1/346.