Noor
Kiswahili
Noor / Dua / Nyumba na Familia / Dua ya kuvaa nguo mpya

Dua ya kuvaa nguo mpya

Nyumba na Familia · 1 dua

Dua ya kuvaa nguo mpya 0:00
Sikiliza
1

اللَّهُمَّ لَكَ الْحَمْدُ أَنْتَ كَسَوْتَنِيهِ, أَسْأَلُكَ مِنْ خَيْرِهِ وَخَيْرِ مَا صُنِعَ لَهُ, وَأَعُوذُ بِكَ مِنْ شَرِّهِ وَشَرِّ مَا صُنِعَ لَهُ

Ewe Mwenyezi Mungu sifa njema ni zako, wewe ndiye uliyenivisha, nakuomba kheri ya nguo hii, na kheri ya kila ambacho nguo hii imetengenezewa, na najilinda kwako kutokana na shari yake, na shari ambayo nguo hii imetengenezewa.

Chanzo: Abu Dawud, At-Tirmizi. Al-Albani, Mukhtasar Shamd'il At-Tirmizi, p. 47.