Noor
Kiswahili
Noor / Dua / Adabu na Tabia Njema / Kumpongeza baba wa mtoto mchanga na jibu lake

Kumpongeza baba wa mtoto mchanga na jibu lake

Adabu na Tabia Njema · 1 dua

Kumpongeza baba wa mtoto mchanga na jibu lake 0:00
Sikiliza
1

بَارَكَ اللَّهُ لَكَ فِي الْمَوْهُوبِ لَكَ, وَشَكَرْتَ الْوَاهِبَ, وَبَلَغَ أَشُدَّهُ, وَرُزِقْتَ بِرَّهُ. وَيَرُدُّ عَلَيْهِ الْمُهَنَّأُ فَيَقُولُ: بَارَكَ اللَّهُ لَكَ وَبَارَكَ عَلَيْكَ, وَجَزَاكَ اللَّهُ خَيْراً, وَرَزَقَكَ اللَّهُ مِثْلَهُ, وَأَجْزَلَ ثَوَابَكَ

Mwenyezi Mungu akubariki katika ulichopewa na umshukuru aliyekupa, na afike kuwa mkubwa, na uruzukiwe wema wake. Na aliyepongezwa atamuombea aliyempongeza kwa kumwambia: ''Mwenyezi Mungu akubariki na ateremshe baraka juu yako, na Mwenyezi Mungu akujaze kheri, na Mwenyezi Mungu akuruzuku mfano wake, na afanye nyingi thawabu zako.''

Chanzo: An-Nawawi Al-Azkar 349.